Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/maduu/history
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
UTANGULIZI – Asasi ya Mapambano Dhidi ya Umasikini na Ukimwi ni Asasi isiyo ya kiselikari na isiyolenga kugawana faida lakini inalenga kutoa ushauri wa kuendesha miradi ya kiuchumi kwa waathirika na waathiriwa wa janga la UKIMWI. Asasi hii imeanzishwa na watu wachache wanaoishi na virusi vya UKIMWI Tangu mwaka 2006 – Asasi hii imeundwa Baada ya kutafakari kwa kina matatizo mbalimbali yanayotupata wa tu tulioathirika na VVU/UKIMWI Yanahitaji nguvu ya pamoja...
(Bila tafsiri)
Hariri