Base (Swahili) | English |
---|---|
UTANGULIZI Asasi ya Mapambano Dhidi ya Umasikini na Ukimwi ni Asasi isiyo ya kiselikari na isiyolenga kugawana faida lakini inalenga kutoa ushauri wa kuendesha miradi ya kiuchumi kwa waathirika na waathiriwa wa janga la UKIMWI. Asasi hii imeanzishwa na watu wachache wanaoishi na virusi vya UKIMWI Tangu mwaka 2006 Asasi hii imeundwa Baada ya kutafakari kwa kina matatizo mbalimbali yanayotupata wa tu tulioathirika na VVU/UKIMWI Yanahitaji nguvu ya pamoja ili tuwe na maendeleo ya afya zetu ikiambatana na huduma mbalimbali za kijamii. DIRA YA ASASI Kuwa na jamii yenye maendeleo na ustawi kwa ujumla bila kujali tofauti za kijinsia kuboresha mazingira na kutokomeza umasikini ifikapo mwaka 2025 DHAMIRA YA SHIRIKA Kupunguza athari za kiuchumi na kijamii, kuwezesha kwa mafunzo na ushauri wa kuendesha miradi ya kiuchumi kwa waathirika na waathiriwa wa VVU/UKIMWI ili kuwa na jamii yenye afya bora na uendelevu wa huduma mbalimbali kwa ujumla na kuimarisha ushirikiano.
MADHUMUNU Kupunguza athari za kiuchumi na kijamii zitokanazo na hali ya kuathirika na kuathiriwa na VVU/UKIMWI Ktk mkoa wa Mtwara. |
INTRODUCTION Institutions of Struggle Against Poverty and AIDS is a non-profit sharing kiselikari and isiyolenga but focuses on providing advice to project economic drive for the victims and victims of HIV / AIDS. This organization was established by a few people living with HIV / AIDS Since 2006 This organization is designed to reflect in detail after various problems we yanayotupata's just affected by HIV / AIDS Need to be strong with our health and development along with various social services. VISION OF CSO Being a community development and welfare in general regardless of gender differences to improve the environment and eradicate poverty by 2025 MISSION OF ORGANISATION Reducing social and economic impact, enabling the training and mentoring of driving economic projects for the victims and victims of HIV / AIDS in order to have healthy communities and sustainability of various services in general and strengthen cooperation. MADHUMUNU To reduce the effect of economic and social conditions affected transfusions and affected by HIV / AIDS Ktk Mtwara Region. |
Translation History
|