Fungua

/map: Kiswahili: WI0003AC6F8AA5E000000523:content

« Iliyotangulia   ·   Ifuatayo »
Asili ((unknown language)) Kiswahili
- Kuwaelimisha vijana na kuwapa stadi za maisha
- Kulea na kuwasaidia watoto yatima na waishio katika mazingira magumu.
- Kuwapa mbinu mbali mbali za kuwafanya waweze kujiamini katika nyanja mbali mbali ikiwemo elimu, ajira na ugunduzi wa vitu mbali mbali
- Kuwajenga vijana wawe katika maadili mema ili kuepukana na kuwa na vijana wanaojiingiza katika uhalifu
- Kuwajengea uwezo utakaowawezesha kujua misingi ya maadili mema
(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe