Kuunganisha wazazi katika kampeni ya kutokomeza UKIMWI
Kutoa elimu ya UKIMWI katika jamii ya Rombo hususani wanawake
kutoa elimu ya jinsia katika jamii
kutoa elimu ya uraia hususani wanawake
kusaidia makundi ya wasiojiweza kujikwamua kutoka kwenye utegemezi makundi hayo yatima,wajane,watoto walio katika mazingira magumu,walemavu na watu wanaoishi na virusi vya ukimwi
Kutoa elimu ya mazingira kwenye jamii na kujiusisha na kampeni ya... | (Not translated) | Edit |