Base ((unknown language)) | English |
---|---|
Jumla ya wanavikundi 20 wanaotoa huduma za wagonjwa majumbani HBC attendants, wamepatiwa mafunzo ya rejea ya huduma zao ili kuboresha stadi zao. Hii inafuatia mafunzo ya msingi waliyopatiwa mnamo mwaka 2006. Ni matarajio ya asasi kuwa utendaji wao utaboreka na kuleta manufaa kwa jamii wanazozihudumia. |
(Not translated) |