Jumla ya wanavikundi 20 wanaotoa huduma za wagonjwa majumbani – HBC attendants, wamepatiwa mafunzo ya rejea ya huduma zao – ili kuboresha stadi zao. Hii inafuatia mafunzo ya msingi waliyopatiwa – mnamo mwaka 2006. Ni matarajio ya asasi kuwa utendaji wao utaboreka – na kuleta manufaa kwa jamii wanazozihudumia. | (Bila tafsiri) | Hariri |