Log in

/epa-ukimwi/post/107776: English

BaseEnglish
Jumla ya wanavikundi 20 wanaotoa huduma za wagonjwa majumbani – HBC attendants, wamepatiwa mafunzo ya rejea ya huduma zao – ili kuboresha stadi zao. Hii inafuatia mafunzo ya msingi waliyopatiwa – mnamo mwaka 2006. Ni matarajio ya asasi kuwa utendaji wao utaboreka – na kuleta manufaa kwa jamii wanazozihudumia.(Not translated)Edit