Base ((ururimi rutazwi)) | Kinyarwanda |
---|---|
Umoja wa Wazee na Maendeleo Tanzania ni asasi ya kiraia iliyosajiliwa na serikali ya Tanzania kwa usajili wa namba S.A.18539 kutoka wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi tarehe 11/02/2013.Kufanya kazi ya kulinda,kuhifadhi na kutetea haki na maslahi ya wazee Tanzania kupitia kaulimbiu yetu ya :Dar-es-salaam tumeanza tuungeni mkono tusonge mbele kulinda na kutetea haki za wazee Tanzania.
|
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe