Fungua

/piydo/volunteer: Kiswahili

AsiliKiswahili
Tunahitaji Mtu wa kufanya kazi za kujitolea katika nafasi ya uandishi wa Miradi na Mtu wa kufanya ufuatiliaji na tathmini na Mtu wa kutunisha mfuko. – Sifa ni Mtu mweye uzoefu wa kufanya kazi za uandishi wa miradi. Mtu mwenye usoefu wa shughuli za ufuatiliaji na tathmini. Mtu mweye uzoefu wa shughuli za utunishaji mfuko.(Bila tafsiri)Hariri