Tunahitaji Mtu wa kufanya kazi za kujitolea katika nafasi ya uandishi wa Miradi na Mtu wa kufanya ufuatiliaji na tathmini na Mtu wa kutunisha mfuko.
- Sifa ni Mtu mweye uzoefu wa kufanya kazi za uandishi wa miradi.
- Mtu mwenye usoefu wa shughuli za ufuatiliaji na tathmini.
- Mtu mweye uzoefu wa shughuli za utunishaji mfuko.