Tunahitaji Mtu wa kufanya kazi za kujitolea katika nafasi ya uandishi wa Miradi na Mtu wa kufanya ufuatiliaji na tathmini na Mtu wa kutunisha mfuko. – Sifa ni Mtu mweye uzoefu wa kufanya kazi za uandishi wa miradi.
Mtu mwenye usoefu wa shughuli za ufuatiliaji na tathmini.
Mtu mweye uzoefu wa shughuli za utunishaji mfuko. | (Not translated) | Hindura |