Fungua

/takuuki/post/3127: Kiswahili: CM00066D6099C4C000006715:content

« Iliyotangulia   ·   Ifuatayo »
Asili (Kiswahili) Kiswahili
Napenda kuchukua nafasi hii kukushukuru ndugu Mussa P.M Kamtade kwa maoni mazuri aliotujulisha kwenye Taasisi ya kupambana na UKIMWI Kitangari na tayari yameanza kufanyiwa kazi. Kwa mfano waviu waliopo kata ya Malatu wameanzisha kufuga mbuzi ili kupata nyama, na wale waviu ambao walikuwa wanaendekeza ngono isiyo salama wameanza kuacha tabia hiyo chafu.
Jambo waliloomba waviu ni kwamba jamii iache kuwanyanyapaa ili kuwawezesha kujisikia vizuri na huru.

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe