Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/tasmoyodet/post/68863
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Donate
(Bila tafsiri)
Hariri
Our face book page
(Bila tafsiri)
Hariri
TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO YA USHONAJI KWA WATU WENYE KIPATO KIDOGO – Tanzania Single Mothers and Youth Development Trust (TASMOYODET) kupitia kitengo cha mafunzo ya ujasilia-mali inatangaza nafasi za masomo ya ushonaji kwa miezi sita: – Masomo haya yatatolewa bure kwa familia zenye kipato kidogo hasa wasichana wanaofanya kazi majumbani(House girls) na wanawake wasiojiweza. ...
(Bila tafsiri)
Hariri