Fungua

/UVIKITWE/post/97782: Kiswahili

AsiliKiswahili
Mafanikio yalikuwa ya siri hatuja ona wazi wazi. Kuna sababu kadha wakadha zinazoweza kuelezwa wazi ila kutokana na sababu za kiusalama na kibinadam ilitakiwa wale viongozi wa ngazi za juu wangeunda ka-tume kadogo kafuatilie na kakuthibitisha kweli kazi imefanyika kwa waliokusudiwa au imetolewa tu ripoti na picha za kubandikwa tu wangepata jibu haswaa..(Bila tafsiri)Hariri
Mafanikio yalikuwa ya siri hatuja ona wazi wazi. Kuna sababu kadha wakadha zinazoweza kuelezwa ila kutokana na sababu za kiusalama na kibinadam ilitakiwa wale viongozi wa ngazi za juu wangeunda ka-tume kadogo kafuatilie na kakuthibitisha kweli kazi imefanyika kwa waliokusudiwa au imetolewa tu ripoti ya kugushi na picha za kubandikwa tu kwa ushahidi ili watu waone wangepata jibu haswaa.. Wakati mwingine watu hufanya kazi kwaajili ya mshahara si kusaidia jamii ya Tz.(Bila tafsiri)Hariri
UVIKITWE GROUP, kupitia ufadhili wa The Foundation For Civil Society, imefanikiwa kutekeleza mradi wa uelimishajirika kwa vijana kuhusu athari za matumizi ya dawa za kulevya na uhusiano wake na maambukizi ya VVU/UKIMWI. Mradi huu umetekalezwa katika wilaya ya Bagamoyo ndani ya kata sita ambazo ni Vigwaza,Chalinze,Ubena,Msata,Miono na Kiwangwa. Mradi huu umeweza kuwafikia vijana tisini (90) wanaotumia na wasiotumia dawa za kulevya. – Mafanikio ya...(Bila tafsiri)Hariri