Log in

/UVIKITWE/post/97782: English: CMXjBpvPT98KNz962vTjrqdn:content

« Previous   ·   Next »
Base (Swahili) English
Mafanikio yalikuwa ya siri hatuja ona wazi wazi. Kuna sababu kadha wakadha zinazoweza kuelezwa ila kutokana na sababu za kiusalama na kibinadam ilitakiwa wale viongozi wa ngazi za juu wangeunda ka-tume kadogo kafuatilie na kakuthibitisha kweli kazi imefanyika kwa waliokusudiwa au imetolewa tu ripoti ya kugushi na picha za kubandikwa tu kwa ushahidi ili watu waone wangepata jibu haswaa.. Wakati mwingine watu hufanya kazi kwaajili ya mshahara si kusaidia jamii ya Tz.
(Not translated)

In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register