Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Muda mwingine Mtandao wa vijana Temeke unafanya kazi kwa mazoea bila kuangalia mahitaji ya vijana wa Temeke kiujumla. Mtandao ni baba na mama mzazi wa vituo 30 vya vijana Manispaa ya Temeke inabidi iangalie mazingira ya ufanyaji wa shughuri zao. Ingekuwa vituo vijitegemee ya nini kipindi cha uchaguzi wagombeea wapigane vibega kwenye kutafuta kura? si wagombea wangeacha mpaka siku ya uchaguzi ili vijana waamue hatma yao? Vituo vya vijana vimedolola kabisa hii ni kwa Teyoden kupoteza mvuto, hebu vuta taswira miaka kazaa iliyopita jinsi gani mtandao ulivokuwa na mvuto wa kipekee vijana mbalimbali wanajumuika katika centre na kuafanya mijadara mbalimbali. Hebu jiulize kwenye kata 30 ziulidhulie kata 10.. Kuonyesha kama Teyoden inafanya kazi kwa mazoea kulikuwa na mipango ya kuzindua centre zenye maeneo 3 {1} CHANG'OMBE {2} TOANGOMA {3} KIGAMBONI, sielewi mipango hii imekufa vipi. hiki ni kipindi cha kufanya kazi za kweli kama hayo mafunzo wapewe ili siku wasiwe na la kusema, kama ushirikiano basi wapeni ili yasiwe midomoni. Namaliza kwa kusema mabadiliko ya ukweli hayaendi kimyakimya bali yanaenda kwa kutoa mapungufu yanayotokea' Tcha |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe