About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/TEYODEN/post/115501
: English
Base
English
Muda mwingine Mtandao wa vijana Temeke unafanya kazi kwa mazoea bila kuangalia mahitaji ya vijana wa Temeke kiujumla. Mtandao ni baba na mama mzazi wa vituo 30 vya vijana Manispaa ya Temeke inabidi iangalie mazingira ya ufanyaji wa shughuri zao. Ingekuwa vituo vijitegemee ya nini kipindi cha uchaguzi wagombeea wapigane vibega kwenye kutafuta kura? si wagombea wangeacha mpaka siku ya uchaguzi ili vijana waamue hatma yao? Vituo vya vijana vimedolola kabisa hii ni kwa Teyoden kupoteza mvuto, hebu...
Another time a young Temeke Network is working practices regardless of the needs of youth in Temeke general. Networking is the father and mother of 30 youth centers Temeke Municipality must look at the context of their shughuri decision. What facilities would vijitegemee the election period wagombeea fight shoulder to seek votes? candidates would not stop until election day so young to decide their fate? Youth centers completely vimedolola this is Teyoden lose interest, let's pull kazaa years...
Edit
Donation
(Not translated)
Edit
VIJANA (MDAHALO WA VIJANA)WATOA MAPENDEKEZO YA KUBORESHA SHUGHULI ZA MTANDAO WA VIJANA MANISPAA YA TEMEKE. – Vijana kutoka wastani wa kata 10 walikutana katika kikao cha vijana katika ofisi ya Mtandao wa vijana manispaa ya Temeke kujadili namna ya kuendeleza shughuli ya mijadala ya vijana ambayo hufanywa 2 kila mwezi ili vijana kubadilishana uzoefu na ujuzi juu ya masuala yanayohusu vijana. – Katika kikao tarehe hicho cha...
YOUTH (YOUTH debate) make recommendations to IMPROVE NETWORK OF YOUTH ACTIVITIES OF MUNICIPALITIES OF TEMEKE. – Young people from the county average of 10 met at a youth meeting in the office of the Youth Network of Temeke municipality to discuss how negotiations develop youth activities which are held every month to two young people to share experiences and knowledge on issues pertaining to youth. – In the session on the...
Edit