Muda mwingine Mtandao wa vijana Temeke unafanya kazi kwa mazoea bila kuangalia mahitaji ya vijana wa Temeke kiujumla. Mtandao ni baba na mama mzazi wa vituo 30 vya vijana Manispaa ya Temeke inabidi iangalie mazingira ya ufanyaji wa shughuri zao. Ingekuwa vituo vijitegemee ya nini kipindi cha uchaguzi wagombeea wapigane vibega kwenye kutafuta kura? si wagombea wangeacha mpaka siku ya uchaguzi ili vijana waamue hatma yao? Vituo vya vijana vimedolola kabisa hii ni kwa Teyoden kupoteza mvuto, hebu... | (Not translated) | Hindura |