| Base (Swahili) | English |
|---|---|
|
Katibu wa Nuru Halisi akiwa na viongozi wa kikundi cha Nuru Development Group(KIMANU) katika moja ya vikao vyake. Kikundi hiki tayari kimeanzisha mradi wa uyoga na kinaendelea kuandaa miradi mingine ya maendeleo. |
Secretary of light music at the leaders of a group of Light Development Group (KIMANU) in one of its sessions. This group already has set up a project to prepare the mushrooms and going development projects. |
Translation History
|
