Wana-WEMA wanawapongeza wanakikundi cha NURU HALISI kwa kazi nzuri mnayoifanya, kazi ambayo inadhihirisha jina la kikundi chenu. Tunajifunza mengi kutoka kwenu. Wana-WEMA wanawatakia kila la kheri katika shughuli zenu. | Children-good they congratulated the group for the PURE light you did a good job, work that reveals the name of your group. We learn a lot from you. Children-good they wish all the best in your activities. | Edit |