Log in

/NGOME/post/21252: English

BaseEnglish
TUNAWASHUKURU KWA KUTUSAIDIA KUPATA ELIMU HII MUENDELEE NA MOYO HUO KUTUSAIDIA ILI NASI TUPATE MWANGA ZAIDI WA KUWEZA KUTANDAA SEHEMU MBALIMBALI DUNIANIWe thank you for helping us continue THIS TO EDUCATION AND THE HEART LIGHT assist us so that we may be more than enough parts of the world wideEdit
NGOME inaendesha program ya klabu za mjadala mashuleni.Kwa sasa inaendesha klabu katika shule za sekondari za Mikindani na Mitengo,lengo ni kuwajenga vijana ili waweze kujitambua na hivyo waweze kutimiza majukumu yao katika jamii hususani katika suala zima la VVU na UKIMWI.Pia vijana hao waweze kubadili tabia na kuwa na tabia zinazokubalika katika suala zima la mahusiano.CASTLE program runs the club now runs mashuleni.Kwa debate club in high school in Mikindani and units, the goal is to build up young people so they can identify with so they can fulfill their roles in society especially in the context of HIV and the boys can UKIMWI.Pia change behavior and acceptable behavior in the context of relationships.Edit
TUMEPATA ELIMU YA KUJIUNGA NA TOVUTI YA ENVAYA LEO TAREHE 18/05/2011 MAFUNZO MAZURI TUMEFURAHI KUYAPATA TUNAWASHUKURU WALIOTUWEZESHA KWANI WAMETUPATIA KITU KIPYA AMBACHO HATUJAKITEGEMEA TUNAWASHUKURU SANA.We have received good training for how to join Envaya today, 05/18/2011. We have enjoyed it. We thank those who have enabled us to get a new thing which we haven't used before. We thank you very much.Edit