Log in
HUDUMA YA AFYA YA JAMII MTWARA
Parts of this page have been translated from Swahili to English. View original · Edit translations

We have received good training for how to join Envaya today, 05/18/2011. We have enjoyed it. We thank those who have enabled us to get a new thing which we haven't used before. We thank you very much.

May 18, 2011
Next »

Comments (2)

TUNAWASHUKURU KWA KUTUSAIDIA KUPATA ELIMU HII MUENDELEE NA MOYO HUO KUTUSAIDIA ILI NASI TUPATE MWANGA ZAIDI WA KUWEZA KUTANDAA SEHEMU MBALIMBALI DUNIANI
May 18, 2011
NGOME (Mtwara) said:
NGOME inaendesha program ya klabu za mjadala mashuleni.Kwa sasa inaendesha klabu katika shule za sekondari za Mikindani na Mitengo,lengo ni kuwajenga vijana ili waweze kujitambua na hivyo waweze kutimiza majukumu yao katika jamii hususani katika suala zima la VVU na UKIMWI.Pia vijana hao waweze kubadili tabia na kuwa na tabia zinazokubalika katika suala zima la mahusiano.
May 26, 2011

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.