Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
NGOME inaendesha program ya klabu za mjadala mashuleni.Kwa sasa inaendesha klabu katika shule za sekondari za Mikindani na Mitengo,lengo ni kuwajenga vijana ili waweze kujitambua na hivyo waweze kutimiza majukumu yao katika jamii hususani katika suala zima la VVU na UKIMWI.Pia vijana hao waweze kubadili tabia na kuwa na tabia zinazokubalika katika suala zima la mahusiano. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe