Envaya

/codecoz/topic/57355: Kinyarwanda

BaseKinyarwanda
Zanzibar has witnessed tremendous increase in the importation of used electronic/electrical goods. They include refrigerators, freezers, televisions and computers to name a few. Almost more than half of these goods can not be used so they go direct to the jungles and bushes in the west district of Unguja. These items contain very toxic elements (materials) which are quite dangerous to our environment. These are dangerous to both animal and plants. For example the cathode rays tube found in...(Not translated)Hindura
Kwa kweli tatizo hili ni sugu hapa Zanzibar.Hivyo basi moja kati ya njia za kulidhibiti ni kwa OFISI YA MAKAMO WA KWANZA WA RAIS ambayo inahusika na mazingira kushirikiana na WIZARA YA BIASHARA kupandisha ushuru maradufu wa bidhaa chakavu za electronic kama vile ambavyo nchi nyengine zinafanya ili kujikinga zisigeuzwe majaa na kuepukana na madhara. – TUSIPOCHUKUA HATUA LEO TUTAJUTA MAISHA.(Not translated)Hindura
Napenda nikupongeze sana da Dhulfat kwa maoni yako.Nami naungana nawewe kushadidia kwamba hili ni janga hasa na serikali ina wajibu wa kuchukua hatua haraka, mfano mdogo tatizo la mifuko ya plastik.Hii inaonesha jinsi gani SERIKALI inaweza kupiga marufuku nakufanikisha kiasi kikubwa.Na hili pia linahitaji mkakati wa hali ya juu tena wa haraka. Pia napenda kuipongeza JUMUIYA YA MAENDELEO YA JAMII NA UHIFADHI WA MAZINGIRA kwa kuibua mada hii. – TAFAKARI...(Not translated)Hindura
@Capt Hamza M, Omar (Rtd) (Executive secretary CODECOZ, Zanzibar): – I am taking this opportunity to thank you for your kind contribution on this topic of importation of used electronic/electrical goods, which ultimately turned to e-waste. It is true that, the e-waste is a complex and dangerous environmental problem that is recently emerged in Zanzibar. As you may recall that, the Department of Environment managed to conduct a study on knowledge,...(Not translated)Hindura
Thank you very much for your quick response to the topic which have been very informative. We should all strive to make sure that once the regulation are approved no stone should be left to obstruct its implementation. I agree with you on the need awareness raising and that is not the work of the DoE alone. Together we can conserve and protect our environment.(Not translated)Hindura
Napenda kuwapongezeni Maendeleo ya Jamii na Uhifadhi wa Mazingira kwa kuliangalia suala hili kwa kina zaidi na kuweza kufahamu kuwa lina madhara juu ya jamii yetu na Nchi yetu kwani Nchi zilizoendelea zimeshaona kuwa Zanzibar ndio Jaa lao la kutupia vitu vyao kwa hiyo tunaombna kwanza ndugu zetu wafanya Biashara wakubali hilo kwanza, Pia Serikali inaweza kudhibiti hilo kwa kupitia Ofisi ya Makamo wa Kwanza, pamoja na Wizara ya Biashara ili kuzibiti uingizaji wa bidhaa chakavu ...(Not translated)Hindura
Kiukweli hali ya WEEE zanzibar inatisha kiasi ambacho hata mimi nimeamua nifanye desartetion yangu juu ya mambo hayo na ninaimani kitu nitakachokiona tofauti na mlichokiona nyinyi wakuu nitakifikisha kwawananchi ili waelewe ni kwakiasi gani tunahatarisha maisha ya kizazi kijacho kwakutawanya hazardous metal from those imported used stuff, thanks to all waliopost hii wamenifanya nione picha na nimejua nianzie wapi juu ya study yangu.(Not translated)Hindura
PROBLEMS ASSOCIATED WITH THE DRASTIC INCREASE IF IMPORTATION OF USED ELECTRONIC/ELECTRICAL GOODS TO ZANZIBAR(Not translated)Hindura