Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Kwa kweli tatizo hili ni sugu hapa Zanzibar.Hivyo basi moja kati ya njia za kulidhibiti ni kwa OFISI YA MAKAMO WA KWANZA WA RAIS ambayo inahusika na mazingira kushirikiana na WIZARA YA BIASHARA kupandisha ushuru maradufu wa bidhaa chakavu za electronic kama vile ambavyo nchi nyengine zinafanya ili kujikinga zisigeuzwe majaa na kuepukana na madhara. TUSIPOCHUKUA HATUA LEO TUTAJUTA MAISHA. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe