Base (English) | English |
---|---|
Kiukweli hali ya WEEE zanzibar inatisha kiasi ambacho hata mimi nimeamua nifanye desartetion yangu juu ya mambo hayo na ninaimani kitu nitakachokiona tofauti na mlichokiona nyinyi wakuu nitakifikisha kwawananchi ili waelewe ni kwakiasi gani tunahatarisha maisha ya kizazi kijacho kwakutawanya hazardous metal from those imported used stuff, thanks to all waliopost hii wamenifanya nione picha na nimejua nianzie wapi juu ya study yangu. |
(Not translated) |