Fungua

/codecoz/topic/57355: Kiswahili: dM0006733D1CC49000058668:content

« Iliyotangulia   ·   Ifuatayo »
Asili (Kiswahili) Kiswahili

Napenda nikupongeze sana da Dhulfat kwa maoni  yako.Nami naungana nawewe kushadidia kwamba hili ni janga hasa na serikali ina wajibu wa kuchukua hatua haraka, mfano mdogo tatizo la mifuko ya plastik.Hii inaonesha jinsi gani SERIKALI inaweza kupiga marufuku nakufanikisha kiasi kikubwa.Na hili pia linahitaji mkakati wa hali ya juu tena wa haraka. Pia napenda kuipongeza JUMUIYA YA MAENDELEO YA JAMII NA UHIFADHI WA MAZINGIRA kwa kuibua mada hii.

TAFAKARI CHUKUA HATUA.

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe