Tunaomba Mchango wenu wa maoni na mapendekezo yenu Kuhusu nini kiongezwe na nini kipunguzwe ili kupata katiba mpya. Kuchangia na kujadiliana kuhusu mada muhimu kama hii ni wajibu wetu kama wana jamii. Tunatarajia ushiriki wenu. Karibuni sana. | (Not translated) | Hindura |