Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Katiba yetu,
Zanzibar igawanye ktk mikoa. (muungano),
Spika asitokee chama chochote.
Katiba iweze kuzibiti muda wa wawekezaji kumiliki ardhi.
Jaji mkuu asiteuliwe na rais, iwe sehemu ya ajira na watu kusomea nafasi hiyo.
Katiba ijayo ikatae suala wastaafu kurudishwa makazini mf. Serikali ya JK.mawaziri-wakuu wa mikoa-wakuu wa wilaya.. Eti mstaafu Eng.....
katiba ya Zanzibar isiingilie katiba na mamlaka ya serikali kuu, au serikali ya mseto.
Nalia na madaraka ya rais yamezidi sana. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe