Base (Swahili) | English |
---|---|
3. WANAHARAKATI WA WEMA WASHIRIKI MAONYESHO YA SERIKALI ZA MITAA Tarehe 01 Julai 2010 Wanaharakati wa Elimu, Mazingira na Afya-WEMA, walishiriki katika maonyesho ya Serikali za Mitaa yaliyofanyika kiwilaya katika mji mdogo wa Ndanda Masasi. Kikundi cha WEMA kilishiriki maonyesho hayo kwa kuonyesha baadhi ya shughuli wanazozifanya. Walionyesha baadhi ya vitabu vinavyopatikana katika maktaba yao, pia walionyesha baadhi ya miche ya miti waliyootesha katika kitalu chao, hali kadhalika, walionyesha vyungu vya kupandia maua ambavyo ni miongoni mwa kazi wazojifunza kikundi cha akina mama wa WEMA, kinachojulikana kama; "WEMA WOMEN EMPOWERMENT GENERATION" ama kwa kifupi "WEMA Women - EG." Katika picha wanaonekana watoto waliotembelea banda la WEMA wakati wa |
3. Activists good PARTICIPANTS OF LOCAL GOVERNMENT Performances On July 1, 2010 Activists of Education, Environment and Health-good, participated in exhibitions held in local government district in the small town of Masasi Ndanda. KINDNESS Group participated in this exhibition demonstrate some of the activities they do. Reflected some of the books available in libraries of them, also expressed some seedlings of trees were yootesha in the garden is theirs, likewise expressed pots planting flowers that are among the works studied a group of mothers of good, known as, "good women Empowerment Generation "or simply" good Women - EG. " In pictures seem to children who visited the pavilion of good time |
Translation History
|