Base (Swahili) | English |
---|---|
UZINDUZI WA KITUO MAALUM CHA ELIMU.Shirika la African Heritage Foundation inchini Tanzania limezindua kituo maalum cha elimu kiitwacho(Talented Brothers Academy).Uzinduzi huo ulifanywa na Bwana Moses Katega aliyekua mgeni rasmi ambaye ni katibu mtendaji wa shirika hili nchini Uingereza majira ya saa 01:45 mchana.Hafla hiyo iliyohudhuriwa na wajumbe kutoka jumuiya ya Watganzania wanaoishia Italia pamoja na viongozi wa kituo hicho waalimu na wanafunzi.Hafla hiyo ilifuatiwa na muhadhara mfupi ulioongozwa na Bwana Katega uliohusu Historia ya mwanadamu ambayo ilikua ni changamoto kubwa kwa waalimu na wanafunzi.Pia mratibu wa elimu wa shirika Bwana Christopher Kauno alieleza kua kituo hicho kitakua ni msaada mkubwa kwa jamii inayowazunguka.Pichani juu wa kwanza kushoto ni Bwana Katega Bitegeko katibu wa shirika hilo Uingereza,wa pili ni Mratibu wa elimu wa shirika bwana Christopher Kauno na watatu ni Bwana Albert.T.Msafiri mkurugenzi wa shirika hilo Tanzania wakijiandaa kuzindua kituo.Pichani chini ni Bi.Sauda Mapondela mwakilishi wa wanafunzi akitoa risala katika hafla hiyo.Picha zinazofuata ni matukio mbalimbali katika hafla hiyo na mwisho ni picha za majeng ya kituo hicho. |
Launch of a specific education. Organization of African Heritage Foundation inchini Tanzania has launched a special education facility called (Talented Brothers Academy). Inauguration was conducted by Lord Moses, who grew Katega guest who is executive secretary of this organization in the UK at 01:45 mchana.Hafla summer and it iliyohudhuriwa members from the community Watganzania who end up in Italy with the leaders of the center teachers and funzi.Hafla it was followed by muhadhara brief was led by Lord Katega involving human history in which grew a great challenge for teachers and funzi.Pia coordinator of education of the organization Lord Christopher Kauno He expressed pride is a growing center for community comfort inayowazunguka.Pichani on the first left is Lord Katega Bitegeko secretary of the British organization, the second is the education coordinator of the organization and three master Kauno Christopher is director of the Lord Albert.T.Msafiri Tanzania was preparing to launch a Bi.Sauda Mapondela kituo.Pichani less representative of the students giving a message at a ceremony next hiyo.Picha are various events in the ceremony and post a picture of the center Jeng. |
Translation History
|