Log in

/africanheritage/news: English

BaseEnglish
WANAFUNZI WAFURAHIA AFRICAN HERITAGE – Wanafunzi wafurahia na kuridhishwa na huduma ya elimu inaytolewa na shirika hilo.Wakiongea kwa nyakati tofauti wanafunzi wameelezea kuridhishwa na mazingira maridhiwa ya kituo cha elimu cha shirika hilo yenye mvuto kielimu,huku wengine wakionyesha hisia zao kwa waalimu wazuri,makini na wenye msimamo thabiti katika elimu na maisha kwa ujumla.Pichani ni wanafunzi wakiwa katika...STUDENTS Enjoy AFRICAN HERITAGE – Students enjoy and be satisfied with the service of education inaytolewa organization hilo.Wakiongea different times students have expressed satisfaction with the environment ratification of an educational center for the organization of gravity models, while others expressed their feelings for teachers better, pay attention to those who stand firm in the knowledge and life...Edit
ESTABLISHMENT OF DISCUSSION PAGE – (image) – The webmaster of African Heritage Foundation in Tanzania Mr. Exavery E. Tabagi in the picture above, would like to inform the general public that the organization is about to create and establish a...(Not translated)Edit
UZINDUZI WA KITUO MAALUM CHA ELIMU. – (image) – Shirika la African Heritage Foundation inchini Tanzania limezindua kituo maalum cha elimu kiitwacho(Talented Brothers Academy).Uzinduzi huo ulifanywa na Bwana Moses Katega aliyekua mgeni rasmi ambaye ni katibu mtendaji wa shirika hili nchini...UZINDUZI THE CENTER OF SPECIAL EDUCATION. – (image) – Organization of African Heritage Foundation inchini Tanzania has launched a special education center called (Talented Brothers Academy). The launch was conducted by Lord Moses, who grew Katega guest who is executive secretary of this...Edit
UTEUZI WA MSHAURI WA MASWALA YA AFYA WA SHIRIKA. – Mkurugenzi wa shirika la AHF nchini Tanzania bwana Albert.T.Msafiri amemteua rasmi Dr Oswad Lyapa kuwa mshauri wa shirika hilo katika maswala ya afya, uteuzi huo umethibitishwa na Dr. Frank Mukiza ambae ni mkurugenzi wa shirika hilo nchini Uingereza. Pia Dr Oswad atakua na jukumu la kuongoza timu ya madaktari na wauguzi watakao jitolea kutoa huduma...Appointment of Consultant HEALTH ISSUES OF THE CORPORATION. – Director of the AHF in Tanzania Albert.T.Msafiri master has appointed Dr Oswad Lyapa be formally advised of the agency in matters of health, the appointment was confirmed by Dr. Frank disgust, who is director of the agency in the UK. Also Dr Oswad will have the task of leading a team of doctors and nurses who will volunteer to provide health...Edit
HAPPY NEW YEAR – 2011 – (image)...(Not translated)Edit
Its amazing African heritage members have responded postively the calling of teaching in public schools which are experiencing shortage of manpower(teachers).Ten teachers have been regestered in the programm while registration is stil continuing.In the picture below are Mwalimu Richard Noel and Mwalimu Neema teaching students of Kitunda Secondary School. (image) (image) (image)(Not translated)Edit
We shall overcome………………… – Dr. Frank Mukiza in the picture below, who is the managing director of African Heritage Foundation in UK has said that inspite of financial problems which the organization is facing in Tanzania its activities should continue as arranged. He emphasized that the AHF in UK the mother organization of AHF in Tanzania will ensure that the ...(Not translated)Edit
Mr. Stephen King meets AHF director in Tanzania Mr. Albert Msafiri in Dar es Salaam ...(Not translated)Edit
UZINDUZI WA (image) TOVUTI – Shirika la African Heritage Foundation nchini Tanzania limezindua rasmi Tovuti yake jana Tarehe 24,Mwezi wa nane 2010 hapa Ukonga Kata ya Kitunda.Tovuti hiyo ilizinduluwa na Bwana Emmanuel.R.Kapongo mwakilishi wa Jumuiya ya watanzania washio nchini Italia ''Communita Tanzaniana in Italia".Ambayo ni jumuiya rafiki wa A.H.F.Hafla hiyo ya uzinduzi...UZINDUZI WA (image) WEBSITE – Organization of African Heritage Foundation in Tanzania has launched its official website yesterday date 24 August 2010 Here's Ukonga ilizinduluwa Kitunda.Tovuti County and the Community Emmanuel.R.Kapongo representative of Tanzania in Italy''Communita washio Tanzaniana in Italy " . Which is a community-friendly AHFHafla the launch order is...Edit
African heritage members have started to volunteer teaching in public school which have shortege of teachers following the call from their Managing director Mr Albert.T.Msafiri.In the picture below is Mr Richard Noel discussing with some of his students in school compound at Kitunda secondary school.Mr Richard is a graduate teacher fom St.JOHNS UNIVERSITY OF TANZANIA.Specializing in Geography and History subjects. (image)(Not translated)Edit