Base (Igiswayire) | Kinyarwanda |
---|---|
Vijana TEYODEN washiriki maadhimisho ya Climate Change Don Bosco,Upanga Dar-es-salaa. Vijana 20 TEYODEN ( wanaume 10 na wasichana 10) washiriki katika Maadhimisho ya climate change Tanzania yaliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco Upanga tarehe 8/11/2011 Lengo la mkutano wa Mabadiliko ya hali ya mazingira
Katika hotuba yake mgeni rasmi makamu wa raisi Dr Bilal alisema “ Wanadamu tumechafua nyumba zetu sisi wenyewe, hivyo basi nasisitiza kwamba kama tunataka mabadiliko ya kweli ni lazima tuanze kwa kusafisha nyumba zetu tulizo zichafua ndipo tusafishe mazingira yetu.” Mkutano huu au maazimio uliudhuriwa na vikundi mbalimbali vya burudani navyo ni kikundi mcha sanaa za monesho ya jukwaani na televisheni cha FATAKI kikundi cha vijana wa kusheki mwanamuziki kutoka kenya anayejulikana kama Juliani ambao ni mmoja wa vijana walio katika safari ya road to Durban mwanamuziki wa Tanzania anayeimba mziki wake katika maadhi ya bongo flavour Mwasiti kikundi cha muziki kinacho julikana kama 10 Norway nacho pia kipo katika road to durban na kundi la ngoma ama muziki wa asili kutoka Botswana nao pia wapo katika Road to Durban
|
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe