| Base (Swahili) | English |
|---|---|
|
Uwongozi wa jumuiya ya MEECO ukishirikiana na Kamati ya ulinzi na usalama wa Shehia ya Mwanakwerekwe wakiwa Ofisini skuli ya Sekondari Mbarali katika jitihada za kutatua tatizo la uvutaji wa bangi kwa baadhi ya wanafunzi wakorofi wa skuli hiyo!! |
Community leadership MEECO been cooperating with the Committee of defense and security of Mwanakwerekwe Shehia Office in Mbarali secondary schools in an effort to solve the problem of smoking of marijuana by some students of the school's vehement! |
Translation History
|
