Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/ndanda/news
: Kiswahili
1
2
Ifuatayo »
Asili
Kiswahili
5. NAMNA WANA-WEMA WALIVYOWAKUMBUKA WANAFUNZI YATIMA SIKU YA MJADALA WA WAZI - NDANDA – Tarehe 03 Mei 2010 kikundi cha Wanaharakati wa Elimu, Mazingira na Afya-WEMA waliendesha mjadala wa wazi katika mji mdogo wa Ndanda. Wana-WEMA waliitumia siku hiyo kukabidhi misaada kwa wanafunzi watatu ambao ni yatima kutoka katika shule tatu za msingi. Wanafunzi hao ni Genofever Kavili mwanafunziwa darasa la IV kutoka...
(Bila tafsiri)
Hariri
3. WANAHARAKATI WA WEMA WASHIRIKI MAONYESHO YA SERIKALI ZA MITAA – Tarehe 01 Julai 2010 Wanaharakati wa Elimu, Mazingira na Afya-WEMA, walishiriki katika maonyesho ya Serikali za Mitaa yaliyofanyika kiwilaya katika mji mdogo wa Ndanda Masasi. Kikundi cha WEMA kilishiriki maonyesho hayo kwa kuonyesha baadhi ya shughuli wanazozifanya. Walionyesha baadhi ya vitabu vinavyopatikana katika maktaba yao, pia walionyesha baadhi ya miche ya miti waliyootesha...
(Bila tafsiri)
Hariri
2. MKUTANO MKUU WA MWAKA WA MARAFIKI WA ELIMU TANZANIA – Siku ya tarehe 01 Septemba 2010 hadi 03 Septemba 2010, kwenye ukumbi wa VETA Dodoma, kulifanyika mkutano mkuu wa Marafiki wa Elimu Tanzania. Mkutano huo uliitishwa na shirika la hiari la HakiElimu. Kwa mujibu wa taarifa ya waandaaji wa mkutano huo, walielezea kuwa mkutano huo ulihudhuriwa na Wanaharakati wa Marafiki wa Elimu wengi zaidi kuliko mikutano...
(Bila tafsiri)
Hariri
4. UZINDUZI WA MAKTABA YA JAMII YA WEMA - MKALAPA – Tarehe 11 Julai 2009 iliambatana na tukio muhimu na la kihistoria katika kijiji cha Mkalapa. Kijiji cha Mkalapa kipo katika wilaya ya Masasi mkoani Mtwara. Kikundi cha Wanaharakati wa Elimu, Mazingira na Afya-WEMA walizindua rasmi Maktaba yao ya Jamii ya WEMA ambayo ina vitabu na machapisho zaidi ya 750. – Vitabu vilivyomo kwenye maktaba ya WEMA vimechangiwa na...
(Bila tafsiri)
Hariri
HABARI ZINAZOHUSU WANAKIKUNDI WA WEMA - MKALAPA, WILAYA YA MASASI – 1. WANAHARAKATI WA ELIMU, MAZINGIRA NA AFYA - WEMA, WAENDESHA MJADALA WA WAZI KATIKA MJI MDOGO WA NDANDA, MASASI – Tarehe 03 Mei 2010, Wanaharakati wa Elimu, Mazingira na Afya-WEMA, waliendesha mjadala wa wazi uliofanyika katika mji mdogo wa Ndanda uliopo katika...
(Bila tafsiri)
Hariri
Comments
Maoni
Hariri
October
Oktoba
Hariri
{month} {day}, {year}
{day} {month}, {year}
Hariri
Discussions
Majadiliano
Hariri
Swahili
ALLIANCE FOR SOCIAL CHANGE { UMAKI } ni shirika lisilo la kiserikali na watu wake wa kujitolea ni 1. KENETH MKATA 2. MOHAMED KIZERU 3. MWANAIDI SALIMU
Hariri
(unknown language)
kiswahil(lugha nyingine)
Hariri
Network
Mtandao
Hariri
Email
barnabasnjenjema.comBarua pepe
Hariri
Facebook
Facebookah
Hariri
Google+
Google+
Hariri
1
2
Ifuatayo »