Fungua

/juwassu/topic/106223: Kiswahili

AsiliKiswahili
To improve and facilitate uzinis community for making the higher standards of education and other development corner. To support primary and secondary student during preparation time, examination and fields period schools at uzini area. Reduce and stop the transmission of HIV/AIDs, MALARIA, T.B, CHOLERA and stand by giving out FREE CARE CLINIC for Zanzibar new generation. Educate and eliminate there duties, rights and responsibilities. To...Kuboresha na kuwezesha uzinis jamii kwa ajili ya kufanya viwango vya elimu ya juu na kona nyingine za maendeleo. Kusaidia shule za msingi na sekondari mwanafunzi wakati wa maandalizi ya uchunguzi wa muda, na mashamba ya kipindi cha shule katika eneo la uzini. Kupunguza na kuzuia maambukizi ya VVU / UKIMWI, malaria, TB, kipindupindu na kusimama nje kwa kutoa bure CARE kliniki kwa ajili ya Zanzibar kizazi kipya. Kuwaelimisha na kuondokana na kuna...Hariri
mageuzi ya kielimu tutaweza kufanya kwa kuiunga mkono juwassu kwani vijana wamejitolea kwa ajili ya maendeleo ya elimu ndani ya uzini.kwani huko nyuma hatukuweza kufanya mageuzi kwakua hatukua na chombo kinachoweza kutuunganisha lakini sasa tuna juwassu ambayo inaweza kutuunganisha na kuleta mabadiliko cha muhimu hapa nikuunganisha nguvuzetu wanauzini popote tulipo kwani umoja ninguvu hongereni juwassu na msichoke kwani safari ya meli 1000 inaanza na hatua moja. hata...(Bila tafsiri)Hariri
MDAU WA MAENDELEAO UZINI. – Kwa muda mrefu sasa jimbo la uzini limekuwa nyuma katika suala la ELIMU,licha ya kwamba Jimbo hilo lina skuli iliyojengwa zamani tokea enzi za ukoloni kama sikosei shule hiyo ya UZINI imejengwa 1936.Ni skuli chache zilizojengwa katika miaka hiyo ikiwa ni pamoja na Ndijani kwa Wilaya ya kati,Makunduchi na Muyuni kwa Kusini Unguja. – Skuli ya Uzini imebahatika kutoa wasomi wengi ambao wamehudumu katika nafasi mbali mbali katika Serikali ya...(Bila tafsiri)Hariri
kwa nini sisi wazaliwa wa jimbo la uzini tunashindwa kufanya mageuzi ya elimu ndani ya jimbo letu la uzini wakati tunaweza kufanya mageuzi ya kisiasa na kuitwa jimbo mama kisiasa lakini tunaitwa jimbo tasa kielimu(Bila tafsiri)Hariri
@JUMUIYA YA WANAFUNZI WALIOSOMA SKULI ZA JIMBO LA UZINI (JUWASSU):(Bila tafsiri)Hariri
How can we improve the education sector at Uzini?Jinsi gani tunaweza kuboresha sekta ya elimu katika Uzini?Hariri