Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
mageuzi ya kielimu tutaweza kufanya kwa kuiunga mkono juwassu kwani vijana wamejitolea kwa ajili ya maendeleo ya elimu ndani ya uzini.kwani huko nyuma hatukuweza kufanya mageuzi kwakua hatukua na chombo kinachoweza kutuunganisha lakini sasa tuna juwassu ambayo inaweza kutuunganisha na kuleta mabadiliko cha muhimu hapa nikuunganisha nguvuzetu wanauzini popote tulipo kwani umoja ninguvu hongereni juwassu na msichoke kwani safari ya meli 1000 inaanza na hatua moja. hata ROME haikujengwa kwa siku moja pia mbuyu ulianza kama mchicha.@JUMUIYA YA WANAFUNZI WALIOSOMA SKULI ZA JIMBO LA UZINI (JUWASSU): |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe