Base (Swahili) | English |
---|---|
MCAEE ni community based organization (CBO) na inajishughulish na miradi vile elimu ya ukimwi na mazingira pamoja na kazinyengine za kijamii yakiwemo maji safi na salama. Kwa sasa MCAEE inategemea kuazisha mradi wa Community Based Tourism ambayo itaenda sambamba na hifadhi ya misitu ya asili na wanyama pori kama vile paa (dear) na ufugaji nyuki.Taari wameshazungumza na jamii na imeshapeleka barua ya kupata baraka za Serikali ya Zanzibar kupitia idara husika . Mradi huu unategemea kuwanufaisha jamii iliyo zuguukwa na mradi huu kwani watalii na jamii watakwenda kuangalia misitu ya asili na shughuli nyengine zinazofanyika. WAFADHILI: Mradi una tafuta wafadhili wa kuendesha mradi huu,tunapokea ufadhili wa aina zote utakaoufanya mradi uendelee.Kwa hivyo wadau mbalimbali wakiwemo mashirika ya umma,CBOs,NGOs,secter binafsi, makampuni,serikalina watu wa kawaida wanaoweza kusaidia mradi huu tunawakaribisha. kwa mawasiliano:- Email: mcaee@hotmail.com fakijaha@live.com mobile phone: +255(0)773077209
|
MCAEE is a community based Organization (CBO) and inajishughulish and projects as AIDS education and environmental and social kazinyengine including clean and safe water. For now depends partly MCAEE Community Based Tourism project which is going along with the conservation of natural forests and wild animals such as the roof (dear) and livestock nyuki.Taari have talked and agreed with the community and get email imeshapeleka blessing of the Government of Zanzibar through the departments concerned. This project relies on community benefit is zuguukwa this project for tourists and the community will go look at the natural forests and other activities currently being undertaken. Electronically: The project is looking for sponsors to run this project, we received funding for all types so you kaoufanya uendelee.Kwa project stakeholders including public agencies, CBOs, NGOs, private secter, companies, serikalina ordinary people who can help this project we received. for correspondence: - Email: mcaee@hotmail.com fakijaha@live.com mobile phone: +255 (0) 773 077 209 |
Translation History
|