MCAEE ni community based organization (CBO) na inajishughulish na miradi vile elimu ya ukimwi na mazingira pamoja na kazinyengine za kijamii yakiwemo maji safi na salama. – Kwa sasa MCAEE inategemea kuazisha mradi wa Community Based Tourism ambayo itaenda sambamba na hifadhi ya misitu ya asili na wanyama pori kama vile paa (dear) na ufugaji nyuki.Taari wameshazungumza na jamii na imeshapeleka barua ya kupata baraka za Serikali ya Zanzibar kupitia idara husika . ... | (Bila tafsiri) | Hariri |