Fungua

Tafsiri: English (en): Wafasiri: Tanzania Society for the Deaf (tsd)

Jina Tanzania Society for the Deaf (tsd)
Badiliko la mwisho 13 Desemba, 2011
Tafsiri 3
Kura 3

Tafsiri mpya

Internal IDAsiliEnglishMfasiriMuda ya Uumbaji
WI00089E85FE750000088586:contentTanzania Society for the Deaf ilianzishwa na kusajiriwa 1971 na muasisi wake ni Sir Andy Chande.Mlezi wa kwanza wa chama hiki alikua hayati Mwalimu Julius Nyerere,raisi wa kwanza wa Tanzania.Chama kimejenga shule ya Viziwi Buguruni kwa kushirikiana na wadau wa ndani na nje ya nchi chini ya muongozo wa Sir Andy Chande. – Chama kimepata mafanikio mengi ikiwemo kufunisha lugha ya alama kwa viziwi,wakalimani,kujenga shule,visitors lodge,shamba la mlamleni...Tanzania Society for the Deaf was founded and registered in 1971 and its founder is Sir Andy Chande.The first Patrol of TSD was late Mwalimu Julius Nyerere, first president of Tanzania.TSD in collaboration with stakeholders inside and outside the country built Buguruni for the Deaf. – Association has found much success including teaching sign language for deaf, interpreters, school building, visitors lodge, farm at Mlamleni etc.tsd13 Desemba, 2011
WI0000D9A8C85F7000088590:contentShule yetu ya Buguruni Viziwi imefungwa kwa ajili ya mapumziko ya mwisho wa mwaka na itafunguliwa January 2012Buguruni school for the Deaf is closed for end of the year holidays and will be opened on 8th January 2012tsd13 Desemba, 2011
WI0007BBF5D8615000088584:contentTSD inamiliki na kuendesha Shule ya Msingi Buguruni Viziwi kuanzia February 1974 ambayo ni boarding na day na kwa sasa ina wanafunzi 260 chekechea hadi ufundi – Shule ina darasa la chekechea,elimu ya msingi darasa la 1-7 pia ina chuo cha ufundi stadi kilicho sajiriwa na (VETA). – TSD inamiliki ekari 53 eneo la Mlaleni,Wilaya ya Mkuranga,Mkoa wa Pwani.Shamba hili linatumika kama sehemu ya mazoezi ya Kilimo na ufugaji kwa wanafunzi viziwi ili wapate stadi za maisha...TSD owns and operate the Deaf Buguruni Primary School since February 1974 which is a boarding and day and now has 260 students kindergarten to vocational – The school has kindergarten, primary grades 1-7 also has a vocational college that is registered by (VETA). – TSD owns 53 acres of land at Mkuranga District, Coast Region The farm is used as part of the practice of agriculture and livestock for deaf students to have life skills and knowledge about agriculture. The...tsd13 Desemba, 2011