Asili (Kiswahili) | English |
---|---|
TSD inamiliki na kuendesha Shule ya Msingi Buguruni Viziwi kuanzia February 1974 ambayo ni boarding na day na kwa sasa ina wanafunzi 260 chekechea hadi ufundi Shule ina darasa la chekechea,elimu ya msingi darasa la 1-7 pia ina chuo cha ufundi stadi kilicho sajiriwa na (VETA). TSD inamiliki ekari 53 eneo la Mlaleni,Wilaya ya Mkuranga,Mkoa wa Pwani.Shamba hili linatumika kama sehemu ya mazoezi ya Kilimo na ufugaji kwa wanafunzi viziwi ili wapate stadi za maisha na ujuzi juu ya kilimo na ufugaji.Mpango wa muda mrefu ni kujenga shule ya sekondari huko mlamleni na kufanya shughuli nyingine za uwekezaji TSD ina visitors lodge/rest house kwa ajili ya wageni na volunteers wakutoka ndani na nje ya nchi,kama unahitaji huduma hii wasiliana na Bi.Matilda Ngonyani Mkurugenzi TSD 0755 885117 au Bi.Habiba Mhomba-Mweka Hazina 0655403156 TSD ina ukumbi wa mikutano na pia unafaa kwa harusi na shughuli mbalimbali za kijamii. |
TSD owns and operate the Deaf Buguruni Primary School since February 1974 which is a boarding and day and now has 260 students kindergarten to vocational The school has kindergarten, primary grades 1-7 also has a vocational college that is registered by (VETA). TSD owns 53 acres of land at Mkuranga District, Coast Region The farm is used as part of the practice of agriculture and livestock for deaf students to have life skills and knowledge about agriculture. The long term plan is to build a secondary school at Mlamleni and other investment activities TSD has a visitors lodge / rest house for visitors and Volunteers from over seas, if you need this service, contact the Director Bi.Matilda Ngonyani TSD 0755 885117 or Bi.Habiba Mhomba-Treasurer 0655403156 TSD has a venue for meetings and is also suitable for weddings and various social activities. |
Historia ya tafsiri
|