Fungua

Tafsiri: English (en): Wafasiri: CHAMA CHA VIZIWI TANZANIA (CHAVITA) WILAYA YA DODOMA MJINI (ChavitaWilayaDodomamjini)

Jina CHAMA CHA VIZIWI TANZANIA (CHAVITA) WILAYA YA DODOMA MJINI (ChavitaWilayaDodomamjini)
Badiliko la mwisho 9 Januari, 2012
Tafsiri 9
Kura 9

Tafsiri mpya

Internal IDAsiliEnglishMfasiriMuda ya Uumbaji
WI00029AEC2CDB7000089408:contentChama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) ni chama kilichoanzishwa na Viziwi wenyewe mwaka 1983 na kusajiliwa rasmi na Wizara ya Mambo ya Ndani tarehe 04/09/1984 na kupewa no so. 6466 na baaada ya kupitishwa kwa sheria ya Uanzishwaji wa vyama vya kiraia ya mwaka 2002, CHAVITA ilipata hati namba NGO 1878 tarehe 21/04/2006. – Kwa sasa CHAVITA ina Matawi 18 kwenye Mikoa 18 ya Tanzania bara ambayo ni Mwanza Shinyanga, Mara, Kagera, Dodoma, Tabora, Kigoma, Arusha, Tanga,...Tanzania Association of the Deaf Dodoma Urban district of the deaf was founded with about 91 Members Create Chavita Dodoma Urban district on 07 of the fifty month in 2011 – The goal of reducing the functions district CHAVITA Tanzania province.ChavitaWilayaDodomamjini9 Januari, 2012
dT0001F9B22ED68000089430:subjectAssociation of the Deaf TANZANIA (CHAVITA) the Dodoma Urban District(Building Regional Welfare) Deaf communities we are despised by us calling us dumb, For the Word View? Categories of people who'll never know the meaning of Dumb word is to ignore a very large and an error say Deaf do not want to be called Dumb or mute person. Probably says Disabled of Ears or deaf or Not hearing, the Deaf have special language of communication with the palm of their hands and fingers no they speak for vital...ChavitaWilayaDodomamjini2 Januari, 2012
WI0004F4868A323000089410:content(image) Mradi wa Lugha ya Alama uliofadhiliwa na shirika la The Foundation Civil for Society ya Dar es salaam hapa wageni wakuu wa idara za Serikali,Kaimu Afisa Ustawi wa Manispaa na Bibi Hawa Mtui Afisa Ustawi wa Jamii Mkoa wakifungua Mradi wa Mafunzo ya Lugha ya Alama kwa kata 4 za wilaya Ya Dodoma Mjini,Kikombo,Hombolo,Zuzu na ManispaaCHAVITA Dodoma town is under way to find donors who are interested in Helping Deaf District of Dodoma Urban, feed the obstacles Deaf many have despaired of the community see no benefit to them, Social snubs Deaf and disabled people in general, CHAVITA district of Dodoma makes the process of educate the community understand brotherhood of all human we like them. – CHAVITA Dodoma district is seeking Financial Management Visit to educate stakeholders and government and private...ChavitaWilayaDodomamjini2 Januari, 2012
WI00026891E2E98000089412:contentCHAMA CHA VIZIWI TANZANIA CHAVITA – WILAYA YA DODOMA MJINI – VIONGOZI WA CHAVITA WILAYA: – Bilali M. Balikia Mwenyekiti – Blandina Sanga Makamu mwenyekiti – Ramadhan O. kimolo Katibu mtendaji – Barnaba Robert MhazinaAssociation of the Deaf TANZANIA CHAVITA – DODOMA URBAN DISTRICT – CHAVITA DISTRICT LEADERS: – Bilali M. Chairman Balikia – Vice Chairman Blandina Sanga – O. Ramadan kimolo executive secretary – Robert Barnabas Fund ...ChavitaWilayaDodomamjini2 Januari, 2012
WI00029AEC2CDB7000089408:contentChama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) ni chama kilichoanzishwa na Viziwi wenyewe mwaka 1983 na kusajiliwa rasmi na Wizara ya Mambo ya Ndani tarehe 04/09/1984 na kupewa no so. 6466 na baaada ya kupitishwa kwa sheria ya Uanzishwaji wa vyama vya kiraia ya mwaka 2002, CHAVITA ilipata hati namba NGO 1878 tarehe 21/04/2006. – Kwa sasa CHAVITA ina Matawi 18 kwenye Mikoa 18 ya Tanzania bara ambayo ni Mwanza Shinyanga, Mara, Kagera, Dodoma, Tabora, Kigoma, Arusha, Tanga,...Tanzania Association of the Deaf Dodoma Urban district of the deaf was founded with about 19 Members Create Chavita Dodoma Urban district on 07 of the fifty month in 2011 – The goal of reducing the functions district CHAVITA Tanzania province.ChavitaWilayaDodomamjini2 Januari, 2012
WI0004F4868A323000089410:content(image) Mradi wa Lugha ya Alama uliofadhiliwa na shirika la The Foundation Civil for Society ya Dar es salaam hapa wageni wakuu wa idara za Serikali,Kaimu Afisa Ustawi wa Manispaa na Bibi Hawa Mtui Afisa Ustawi wa Jamii Mkoa wakifungua Mradi wa Mafunzo ya Lugha ya Alama kwa kata 4 za wilaya Ya Dodoma Mjini,Kikombo,Hombolo,Zuzu na ManispaaCHAVITA Dodoma town is under way to find donors who are interested in Helping Deaf District of Dodoma Urban, feed the obstacles Deaf many have despaired of the community see no benefit to them, Social inawadharau Deaf and disabled people in general, CHAVITA district of Dodoma makes the process of educate the community understand brotherhood of all human we like them. – CHAVITA Dodoma district is seeking Financial Management Visit to educate stakeholders and government and private...ChavitaWilayaDodomamjini2 Januari, 2012
(hidden)
WI00040B56D5DC5000089376:contentUTUME WA CHAVITA-MISSION – “CHAVITA itahakikisha kuwa jamii ya viziwi ina maisha bora, inayojijengea uwezo wa kujiamini, kujithamini, kujiendeleza, kukuza lugha ya alama ya Tanzania na kushiriki kikamilifu katika shughuli zote za kimaendeleo, kiuchumi na kijamii kwa kushirikiana na serikali na taasisi nyingine.”...(A) Conducting all activities relating to the deaf, providing services and developing various strategies for the benefit of deaf members (B) The integration and educating the deaf to have a better quality of life, essential services as other citizens of the Country (C) To fight for justice and equality, cooperation with other organizations, government agencies...ChavitaWilayaDodomamjini2 Januari, 2012
WI00040B56D5DC5000089376:contentUTUME WA CHAVITA-MISSION – “CHAVITA itahakikisha kuwa jamii ya viziwi ina maisha bora, inayojijengea uwezo wa kujiamini, kujithamini, kujiendeleza, kukuza lugha ya alama ya Tanzania na kushiriki kikamilifu katika shughuli zote za kimaendeleo, kiuchumi na kijamii kwa kushirikiana na serikali na taasisi nyingine.”...(a) Kufanya shughuli zote zinazohusu viziwi, kutoa huduma na kuandaa mikakati mbalimbali kwa manufaa ya viziwi wanachama. – (b) Kuwaunganisha na kuelimisha viziwi ili wapate hali bora ya maisha, huduma muhimu kama vile raia wengine wa nchi. – (c) Kupigania haki na usawa, ushirikiano na jumuiya zingine, vyombo vya serikali na mashirika...ChavitaWilayaDodomamjini2 Januari, 2012