Envaya

Translations: English (en): Latest translations

Internal IDBaseEnglishTranslatorTime Created
WI0004F4868A323000089410:content(image) Mradi wa Lugha ya Alama uliofadhiliwa na shirika la The Foundation Civil for Society ya Dar es salaam hapa wageni wakuu wa idara za Serikali,Kaimu Afisa Ustawi wa Manispaa na Bibi Hawa Mtui Afisa Ustawi wa Jamii Mkoa wakifungua Mradi wa Mafunzo ya Lugha ya Alama kwa kata 4 za wilaya Ya Dodoma Mjini,Kikombo,Hombolo,Zuzu na ManispaaCHAVITA Dodoma town is under way to find donors who are interested in Helping Deaf District of Dodoma Urban, feed the obstacles Deaf many have despaired of the community see no benefit to them, Social inawadharau Deaf and disabled people in general, CHAVITA district of Dodoma makes the process of educate the community understand brotherhood of all human we like them. – CHAVITA Dodoma district is seeking Financial Management Visit to educate stakeholders and government and private...ChavitaWilayaDodomamjiniJanuary 2, 2012
(hidden)
WI00040B56D5DC5000089376:contentUTUME WA CHAVITA-MISSION – “CHAVITA itahakikisha kuwa jamii ya viziwi ina maisha bora, inayojijengea uwezo wa kujiamini, kujithamini, kujiendeleza, kukuza lugha ya alama ya Tanzania na kushiriki kikamilifu katika shughuli zote za kimaendeleo, kiuchumi na kijamii kwa kushirikiana na serikali na taasisi nyingine.”...(A) Conducting all activities relating to the deaf, providing services and developing various strategies for the benefit of deaf members (B) The integration and educating the deaf to have a better quality of life, essential services as other citizens of the Country (C) To fight for justice and equality, cooperation with other organizations, government agencies...ChavitaWilayaDodomamjiniJanuary 2, 2012
WI00040B56D5DC5000089376:contentUTUME WA CHAVITA-MISSION – “CHAVITA itahakikisha kuwa jamii ya viziwi ina maisha bora, inayojijengea uwezo wa kujiamini, kujithamini, kujiendeleza, kukuza lugha ya alama ya Tanzania na kushiriki kikamilifu katika shughuli zote za kimaendeleo, kiuchumi na kijamii kwa kushirikiana na serikali na taasisi nyingine.”...(a) Kufanya shughuli zote zinazohusu viziwi, kutoa huduma na kuandaa mikakati mbalimbali kwa manufaa ya viziwi wanachama. – (b) Kuwaunganisha na kuelimisha viziwi ili wapate hali bora ya maisha, huduma muhimu kama vile raia wengine wa nchi. – (c) Kupigania haki na usawa, ushirikiano na jumuiya zingine, vyombo vya serikali na mashirika...ChavitaWilayaDodomamjiniJanuary 2, 2012
WI000D206F5E9EB000089894:contentTangia kuanzishwa kwa shirika hili ,hatujawahi kupata mfadhili wa aina yeyote kwa ajili kufadhiliwa kwa miradi mbalimbali. Kwa hiyo basi shirika linaomba wafadhili wa aina yoyote ile kuhusiana na shughuli zetu apate kutusaidia. Hata wafadhili wa kujitolea pia tunawakaribisha. – Kwa yeyote ambaye yuko tayari kwa kutoa misaada ya aina mbalimbali anaweza kutumia SOCIO-ECONOMIC DEVELOPMENT TRUST FUND A/C No. 01J1062711400 iliyoko katika Bank ya CRDB Tawi la...Tangia kuanzishwa kwa shirika hili ,hatujawahi kupata mfadhili wa aina yeyote kwa ajili kufadhiliwa kwa miradi mbalimbali. Kwa hiyo basi shirika linaomba wafadhili wa aina yoyote ile kuhusiana na shughuli zetu apate kutusaidia. Hata wafadhili wa kujitolea pia tunawakaribisha. – Kwa yeyote ambaye yuko tayari kwa kutoa misaada ya aina mbalimbali anaweza kutumia SOCIO-ECONOMIC DEVELOPMENT TRUST FUND A/C No. 01J1062711400 iliyoko katika Bank ya CRDB Tawi la...SEDTFDecember 23, 2011
WI00089E85FE750000088586:contentTanzania Society for the Deaf ilianzishwa na kusajiriwa 1971 na muasisi wake ni Sir Andy Chande.Mlezi wa kwanza wa chama hiki alikua hayati Mwalimu Julius Nyerere,raisi wa kwanza wa Tanzania.Chama kimejenga shule ya Viziwi Buguruni kwa kushirikiana na wadau wa ndani na nje ya nchi chini ya muongozo wa Sir Andy Chande. – Chama kimepata mafanikio mengi ikiwemo kufunisha lugha ya alama kwa viziwi,wakalimani,kujenga shule,visitors lodge,shamba la mlamleni...Tanzania Society for the Deaf was founded and registered in 1971 and its founder is Sir Andy Chande.The first Patrol of TSD was late Mwalimu Julius Nyerere, first president of Tanzania.TSD in collaboration with stakeholders inside and outside the country built Buguruni for the Deaf. – Association has found much success including teaching sign language for deaf, interpreters, school building, visitors lodge, farm at Mlamleni etc.tsdDecember 13, 2011
WI0000D9A8C85F7000088590:contentShule yetu ya Buguruni Viziwi imefungwa kwa ajili ya mapumziko ya mwisho wa mwaka na itafunguliwa January 2012Buguruni school for the Deaf is closed for end of the year holidays and will be opened on 8th January 2012tsdDecember 13, 2011
WI0007BBF5D8615000088584:contentTSD inamiliki na kuendesha Shule ya Msingi Buguruni Viziwi kuanzia February 1974 ambayo ni boarding na day na kwa sasa ina wanafunzi 260 chekechea hadi ufundi – Shule ina darasa la chekechea,elimu ya msingi darasa la 1-7 pia ina chuo cha ufundi stadi kilicho sajiriwa na (VETA). – TSD inamiliki ekari 53 eneo la Mlaleni,Wilaya ya Mkuranga,Mkoa wa Pwani.Shamba hili linatumika kama sehemu ya mazoezi ya Kilimo na ufugaji kwa wanafunzi viziwi ili wapate stadi za maisha...TSD owns and operate the Deaf Buguruni Primary School since February 1974 which is a boarding and day and now has 260 students kindergarten to vocational – The school has kindergarten, primary grades 1-7 also has a vocational college that is registered by (VETA). – TSD owns 53 acres of land at Mkuranga District, Coast Region The farm is used as part of the practice of agriculture and livestock for deaf students to have life skills and knowledge about agriculture. The...tsdDecember 13, 2011
(hidden)
WI000DAED275B4C000002609:titleAdvisory Boardbodi ya usaurimgayaNovember 24, 2011
WI000BD99B649AA000020110:titleAdvanced Serviceshuduma nyinginemgayaNovember 24, 2011
dM0009A09039945000082471:contentVulnerable Youth, children, women/widows and disabled living in targeted communitiesTarget group/ beneficiaries:-Vulnerable Youth, children, women/widows and disabled living in targeted communitiescitNovember 21, 2011
(hidden)
(hidden)
dM000B56239A50F000079295:content@Deo Makoti (Katibu): – DEO ULILOSEMA NI KWELI LAKINI NAFIKIRI NJIA SAHIHI NI KUTAFUTA UFUMBUZI WA TATIZO LA USAFIRI WA WANAFUNZI HAPO MTWARA. MFANO NI VEMA WANAFUNZI NA WAZAZI WAKAJIUNGA NA SHULE ZILIZO KARIBU NA MAKAZI YAO. PILI WAZAZI WANAWEZA KUWEKA UTARATIBU WA KUCHANGIA GHARAMA KAMA WALE WA SHULE ZA BINAFSI AMBAO NAAMINI HAWAPATI TATIZO HILI KWA KIASI KIKUBWA.@ Deo coats (Secretary): – WHAT YOU HAVE SAID DEO IS TRUE BUT I think the correct path is to FIND THE SOLUTION FOR TRANSPORTATION OF STUDENTS IN MTWARA. for EXAMPLE, IT IS BETTER FOR STUDENTS AND PARENTS TO joined SCHOOLS nearest their HOME. ALSO PARENTS CAN MAKE ARRANGEMENT FOR THEIR CHILDREN AS FOR THOSE cost sharing private school, I believe they Do not get this problem significantly.mypfgNovember 10, 2011