Asili (Kiswahili) | English |
---|---|
MED inatafuta volunteers awa kutoka ndani au nje ya nchi kwa ajili ya nafasi ya Afisa Programme. Volunteer atafanya kazi katika ofisi za MED zilizoko Mkoani Dodoma. Majukumu makuu ya Afisa huyo ni kuandika miradi na kusimamia utekelezaji wa Miradi hiyo kwa kushirikiana na maafisa wengine wa MED. Itapendeza zaidi kama mhusika atakuwa na uelewa wa kutosha kuhusiana na miradi mbalimbali ya kijamii hasa kwa kuzingatia kuwa MED imejikita zaidi katika miradi ya Elimu, Demokrasia na masuala ya Utawala Bora. Mawasiliano yafanyike kwa:- Mratibu wa MED, S.L.P. 3388 Dodoma, Simu: 0759815044/0718 36 22 777 au E-mail: rafiki.elimu@yahoo.com, makundi2001@yahoo.com |
MED is looking for volunteers from both abroad or within the country for the Postion of Program Manager. The Volunteer will work in the MED office which are in Dodoma. The main responsibilities of the Program Manager will be writing project proposals and carrying out projects with the help of other MED officers. The volunteer should preferably have some understanding of how to manage social development projects, having in mind that MED is geared towards projects that deal with Education, Democracy and Good Governance. Contact us:- MED Coordinator, P.O Box 3388 Dodoma, Phone Number: 0759815044/0718 36 22 777 or E-mail: rafiki.elimu@yahoo.com, makundi2001@yahoo.com |
Historia ya tafsiri
|