Ijambo | Base | English | Umusemuzi | Igihe gishyizweho |
---|
WIqG5NplNvDlymgKymCRVRjw:content | Umoja wa wawezeshaji kioo ni shirika lisilokuwa la kiserikali lenye makao yake makuu katika kijiji cha Ilagala na sasa lina uhitaji wa wafanyakazi wa kujitolea wapatao 5 kwenye maeneo yafuatayo:- Uandishi wa miradi, M&E specilists, mtunisha mfuko (fundrise office) na mtu wa IT kwa ajili ya kuweka kumbukumbu mbalimbali za shirika kwenye website yetu ambayo ni www.kioo.org | Umoja wa wawezeshaji kioo is a non governmental organization with its headquarters in a Ilagala Village. We are in need of 5 volunteers in the following sectors: – 1) Writing proposals – 2) M&E Specialists – 3) Fundraising Officer – 4) An IT person who can upload our information on our website: www.kioo.org | envayateam | 23 Gicurasi, 2012 |
WIB45a5cQsO7QwHBiBa7aXGn:content | Kwanza tunatoashukrani za dhati kwenu Envaya kwa kutusaidia ukurasa huu. Shirika letu la TUNAWEZA WOMEN GROUP tunahitaji mwalimu wa michezo tunao vijana ambao wana hitaji mwalimu wa kuwafundisha nakuwasimamia katika mchezo wa mpira wa miguu,tunahitaji pia mwalimu wa kufundisha ushonaji kwani tunao wasichana wanaojifunza ufundi wa kushona nguo,Tunaomba piamtaalamu wa kuandaa na kutoa semina kwa jamii, mtaalam na mshauri wa mambo ya ukimwi tunahitaji pia mtaalam na muandishi wa madokezo ya... | First of all we would liek to take the Opportunity to thank Envaya for helping us create this page. – Our organization TUNAWEZA WOMEN GROUP need physcial exercise teachers. We work with young people who need someone to look after them during their football games. – We also need a teacher to help teach tailoring because we have girls who are learning the craft. – We are also asking for a specialist who can give... | envayateam | 22 Gicurasi, 2012 |
(hidden) |
WIv37sBMiuvvV7GAduMQdBsI:content | MED inatafuta volunteers awa kutoka ndani au nje ya nchi kwa ajili ya nafasi ya Afisa Programme. Volunteer atafanya kazi katika ofisi za MED zilizoko Mkoani Dodoma. Majukumu makuu ya Afisa huyo ni kuandika miradi na kusimamia utekelezaji wa Miradi hiyo kwa kushirikiana na maafisa wengine wa MED. – Itapendeza zaidi kama mhusika atakuwa na uelewa wa kutosha kuhusiana na miradi mbalimbali ya kijamii hasa kwa kuzingatia kuwa MED imejikita zaidi katika miradi ya Elimu, Demokrasia na... | MED is looking for volunteers from both abroad or within the country for the Postion of Program Manager. The Volunteer will work in the MED office which are in Dodoma. The main responsibilities of the Program Manager will be writing project proposals and carrying out projects with the help of other MED officers. – The volunteer should preferably have some understanding of how to manage social development projects, having in mind that MED is geared towards projects that deal... | envayateam | 22 Gicurasi, 2012 |
WIy5AGtvT4gEVZN5BehSdlSI:content | asasi ina mpamgo wa kuanzisha mradi wa kufuga samaki ,tatizo ni mtaalamu wa kutusaidia kufuga samaki.kwa sasa tunahitaji ushauri na mradi ukianza tutahitaji mtaalamu wa kutunza samaki.mawasiliano 0768373804 | Our Organization is planning to start a project of rearing fish, the only problem is that we need a specialist in fish rearing. At the moment we need professional advice and once the project starts we shall need a specialist in fish rearing. Please contact 0768373804 | envayateam | 22 Gicurasi, 2012 |
WI000DAED275B4C000002609:content | Sango Kipozi – (image) As one of Tanzania's leading social entrepreneurs, Sango Kipozi is a household name in Tanzania. Connected to numerous leaders of Tanzanian civil society, Sango has been invaluable in helping Envaya spread across Tanzania. She is currently the Executive Director of the NGO JEAN Media, and has recently launched a community radio station in Mtwara. – Anthony Walton ... | Sango Kipozi – (image) Kama mmoja wa wajasiriamali wa kijamii wakubwa Tanzania, Sango Kipozi anajulikana kote Tanzania. Anajulikana na viongozi mbalimbali wa vyama vya kiraia Tanzania, Sango ametoa mchango mkubwa sana katika kusaidia Envaya kuenea Tanzania. Yeye kwa sasa ni Mkurugenzi Mtendaji wa shirika lisilo la kiserikali Jean Media , na hivi karibuni wamezindua kituo cha redio ya jamii katika Mtwara. ... | envayateam | 23 Mata, 2012 |
WI000DAED275B4C000002609:content | Sango Kipozi – (image) As one of Tanzania's leading social entrepreneurs, Sango Kipozi is a household name in Tanzania. Connected to numerous leaders of Tanzanian civil society, Sango has been invaluable in helping Envaya spread across Tanzania. She is currently the Executive Director of the NGO JEAN Media, and has recently launched a community radio station in Mtwara. – Anthony Walton ... | Sango Kipozi – (image) Kama mmoja wa wajasiriamali wa kijamii wakuu Tanzania, Sango Kipozi anajulikana kote Tanzania. Anajulikana na viongozi mbalimbali wa vyama vya kiraia Tanzania, Sango ametoa mchango mkubwa sana katika kusaidia Envaya kuenea Tanzania. Yeye kwa sasa ni Mkurugenzi Mtendaji wa shirika lisilo la kiserikali Jean Media , na hivi karibuni wamezindua kituo cha redio ya jamii katika Mtwara. ... | envayateam | 23 Mata, 2012 |
WI000A3D897EFE5000028307:content | You can publish photographs and other images on most pages of your Envaya website, including news updates. – To add an image on a page or news update that you are editing, click the (image) icon in the toolbar as shown below: – (image) – In the box that opens, click Browse to select an image file from your computer: – (image) – Find the image or photo file... | Unaweza kuchapisha picha kwenye kurasa karibia zote za tovuti yako ya Envaya, ikiwa ni pamoja na taarifa za habari. – Kuongeza picha kwenye ukurasa au habari unayoihariri ponyeza: (image) kama hapa chini: – (image) – Katika sanduku itakayofunguka, ponyeza tafuta ili kuchagua faili kwenye kompyuta yako: – (image) – Tafuta picha anayotaka kuchapisha kisha... | envayateam | 8 Werurwe, 2012 |
WI00035F967454A000028032:content | After your organization's website is approved by Envaya, anyone on the internet will be able to see your website without needing to register for Envaya. – However, only you (and anyone else who knows your organization's Envaya username and password) can edit the pages on your website when you are "logged in" to Envaya. – By looking at any page's background color, you can tell whether a page is public or if it is only available when you are logged in. All pages with... | Baada ya tovuti ya asasi yako kupitishwa na Envaya, mtu yeyote kwenye mtandao itakuwa na uwezo wa kuona tovuti yako bila kuhitaji kujiandikisha Envaya. – Hata hivyo, ni wewe tu (na mtu yeyote ambaye anajua jina la mtumiaji na neno la siri la asasi lako) unayeweza kuhariri ukurasa kwenye tovuti yako. – Kwa kuangalia rangi ya ukurasa, unaweza kujua kama ukurasa unapatikana kwenye mtandao au la. Ukurasa zenye rangi ya kijivu zinapatikana tu wakati... | envayateam | 8 Werurwe, 2012 |
WI000DAED275B4C000002609:content | Sango Kipozi – (image) As one of Tanzania's leading social entrepreneurs, Sango Kipozi is a household name in Tanzania. Connected to numerous leaders of Tanzanian civil society, Sango has been invaluable in helping Envaya spread across Tanzania. She is currently the Executive Director of the NGO JEAN Media, and has recently launched a community radio station in Mtwara. – Anthony Walton ... | Sango Kipozi – (image) Kama mmoja wa wafanyabiashara wakubwa nchini,Sango Kipozi ni maarufu sana kote Tanzania. Anaushirikiano mkubwa na viongozi mbalimbali wa vyama vya kiraia Tanzania, na amekuwa na mchango mkubwa sana kuisaidia Envaya kuenea Tanzania. Kwa sasa Sango ni Mkurugenzi Mtendaji wa shirika lisilo la kiserikali Jean Media , na hivi karibuni amezindua kituo cha redio ya jamii kwenye mkoa wa Mtwara. ... | envayateam | 5 Werurwe, 2012 |
WI0006FC1E87B98000000457:content | Joshua Stern Executive Director – (image) After graduating from Stanford with a degree in computer science, Joshua Stern served as a Peace Corps volunteer in Tanzania, where he worked to build computer infrastructure and provide fundamental ICT education to the communities in his region. Joshua co-founded Envaya in 2010 with the mission to build and deploy a software platform that provides "the last... | Joshua Stern Mkurugenzi Mtendaji – (image) Baada ya kumapata shahada yake ya sayansi ya kompyuta kutoka chuo cha Stanford, Joshua Stern alienda kujitolea Peace Corps Tanzania ambapo alifanya kazi ya kujenga miundombinu ya kompyuta na kutoa elimu ya msingi ya ICT. Joshua ni mwanzilishi mwenza wa Envaya, alianzilisha sirika hii mwaka 2010 kwa lengo la kujenga jukwaa ya programu inayowezesha uhusiano kati... | envayateam | 27 Gashyantare, 2012 |