Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
FCS Narrative Report
Introduction
TEMEKE YOUTH DEVELOPMENT NETWORK
TEYODEN
MRADI WA KUONGEZA ARI YA UWAJIBIKAJI,USHIRIKI NA USHIRIKISHWAJI WA VIJANA MANISPAA YA TEMEKE
FCS/MG/03/09/140
Dates: 24DEC 2010-24 FEB 2011 | Quarter(s): 1 |
YUSUPH KUTEGWA ,BOX 42381 DAR-ES-SALAAM,MOBILES:+255713434333 AU +255786820626
Project Description
Governance and Accountability
Foundationa inataka kuhakikisha kuwa taasisi za umma zinafanya kazi katika mazingira ya uwazi na kwamba watu wanaelewa haki zao za msingi.The Foundation pia husaidia asasi ambazo zinakuza uelewa wa watu kuhusu haki zao na majukumu yao lakini pia kuimarisha ushirikiano katika masuala ya upatikanaji wa haki za binadamu.
Lengo la TEYODEN katika mradi huu ni kuongeza uwajibikaji,ushiriki na ushirikishwaji wa vijana katika kupata haki zao za kushiriki katika shughuli za kijamii na za kimaendeleo katika ngazi ya kata na wilaya.Hatua hii itawafanya vijana kuwa na mchango katika maendeleo ngazi kata,wilaya na taifa kwa ujumla.

Region | District | Ward | Villages | Total Beneficiaries |
---|---|---|---|---|
Dar es Salaam | AZIMIO | AZIMIO | 42 | |
TEMEKE | SANDALI | SANDALI | 27 | |
MJIMWEMA | MJIMWEMA | 45 | ||
KIBADA | KIBADA | 22 | ||
YOMBO VITUKA | YOMBO VITUKA | 30 | ||
CHANG'OMBE | CHANG'OMBE | 10 | ||
CHARAMBE | CHARAMBE | 32 | ||
TANDIKA | TANDIKA | 32 | ||
MAKANGARAWE | MAKANGARAWE | 45 | ||
VIJIBWENI | VIJIBWENI | 13 | ||
KIMBIJI | KIMBIJI | 45 | ||
SOMANGILA | SOMANGILA | 23 |
Direct Beneficiaries | Indirect Beneficiaries | |
---|---|---|
Female | 22 | 164 |
Male | 19 | 205 |
Total | 41 | 369 |
Project Outputs and Activities
Uelewa wa vijana kuhusu stadi za maisha na sera ya maendeleo ya vijana ya mwaka 2007 miongoni mwa vijana 360 umeongezeka.
1.1 Kikao cha siku 1 cha wadau wa maendeleo manispaa ya Temeke.
1.2 Kuendesha mafunzo ya siku 6 ya stadi za maisha na sera ya maendeleo ya vijana kwa vijana 40 kutoka kata 12 za Manispaa ya Temeke.
1.3 Kufanya ufuatiliaji wa matokeo na ukusanyaji takwimu
1.2 Kuendesha mafunzo ya siku 6 ya stadi za maisha na sera ya maendeleo ya vijana kwa vijana 40 kutoka kata 12 za Manispaa ya Temeke.
1.3 Kufanya ufuatiliaji wa matokeo na ukusanyaji takwimu
1.) Kikao cha siku 1 cha utambulisho wa mradi kwa wadau 24 kutoka kata 12 za mradi Manispaa ya Temeke kilifanyika tarehe 24 dec 2010 katika ukumbi wa amka youth centre Manispaa ya Temeke.Wadau wa Maendeleo walipata nafasi ya kuelewa malengo,matokeo na shughuli za mradi na walitoa mapendekezo ya namna ya kuboresha mradi.
2.) Warsha ya siku 6 ya sera ya maendeleo ya vijana ya mwaka 2007 na stadi za maisha kwa vijana 40 kutoka kata 12 za Manispaa ya Temeke ilifanyika kuanzia tarehe 8-13 jan 2011 katika ukumbi wa Amka Youth Centre Temeke Dar-es-salaam
3.) Ziara ya ufuatiliaji katika vituo 12 vya vijana katika kata 12 za mradi.wafuatiliaji waliangalia shughuli za mirejesho ya elimu ya stadi za maisha na sera ya maendeleo ya vijana,walipata,mafanikio,changamoto na mapendekezo ya vijana kuhusu shughuli zijazo za mradi.

HAKUNA TOFAUTI
1.)Kikao cha utambulisho wa mradi - kiasi cha sh 905,300.00
2.)Mafunzo ya stadi za maisha na sera ya maendeleo ya vijana ya mwaka 2007 -sh 6,602,000.00
3.)Shughuli ya ufuatiliaji wa matokeo ya mradi na kukusanywa takwimu -kiasi cha 738,000.00
2.)Mafunzo ya stadi za maisha na sera ya maendeleo ya vijana ya mwaka 2007 -sh 6,602,000.00
3.)Shughuli ya ufuatiliaji wa matokeo ya mradi na kukusanywa takwimu -kiasi cha 738,000.00
Project Outcomes and Impact
Ari ya uwajibikaji,ushiriki na ushirikishwaji wa vijana katika masuala ya kijamii na maendeleo umeongezeka katika kata 12 za Manispaa ya Temeke.
Vijana 40 waliongezewa uelewa katika sera ya maendeleo ya vijana na stadi za maisha katika kipindi cha utekelezaji wa taarifa hii wameweza kufikia vijana wenzao 369 kutoka kata 12 za mradi Manispaa ya Temeke.
Mradi umechochea ari ya utendaji na utekelezaji wa majukumu mengine ya TEYODEN.
Mabadiliko yanakwenda kama yalivyopangwa kwa kuwa matokeo yaliyotarajiwa yame
patikana kama yalivyopangwa pamoja na kwamba ucheleweshwaji wa fedha umefanya mradi kutovuka malengo yake kwa kiasi kikubwa.
patikana kama yalivyopangwa pamoja na kwamba ucheleweshwaji wa fedha umefanya mradi kutovuka malengo yake kwa kiasi kikubwa.
Lessons Learned
Explanation |
---|
Viongozi wa serikali wanatoa mchango mkubwa wa mawazo na nguvu zao kama wanashirikishwa vyema katika mradi kuanzia hatua za mwanzo za mradi. |
Kuna faida kubwa kufanya kazi kama timu katika utekelezaji wa miradi.Sio mtu mmoja katika asasi kuhodhi kazi zote za mradi. |
Vijana wakiwezeshwa na wakijiwezesha wanaweza kutoa machango mkubwa na kuchangia maendeleo ya Taifa. |
Vijana wana ari na moyo kutaka kuzitambua haki zao na kuzifuatilia ila huwa wanasubili kuanzishiwa mambo ili wao waendelee na tunaamini mwanzo umepatikana. |
Challenges
Challenge | How it was overcome |
---|---|
Kucheleweshwa kwa fedha kumeshusha mori wa walengwa kwa kiwango fulani. | Tumejitahidi kupandisha mori wa vijana na kupanga upya mikakati ykwa vijana ya kuhaikikisha wanashiriki vyema katika michakato ya maendeleo |
Ushiriki mdogo wa jinsia ya kike na mwamko wao katika kuchangia masuala ya kimaendeleon aya kijamii umekuwa mdogo ukilinganisha na wanaume tulitegemea 50%. | Tumepanga katika hatua nyingine kuhusisha zaidi jinsi ya kike. |
Kasi ya vijana kujiunga kama timu na kuanza kujenga hoja imekuwa ndogo ukilinganisha na mawazo ya awali wakati wa mafunzo. | Tuliwaunganisha vijana na kuwasisitiza kujenga hoja kama timu ili kubadilisha mifumo kandamizi na kuchochea maendeleo. |
Linkages
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
1.) TAMASHA | •Tulitumia mwezeshaji kutoka kwenye taasisi hii •Ushauri wa namna ya kutekeleza mradi kwa ufanisi •Kubadilishana uzoefu katika utekelezaji wa miradi |
2) WIZARA KAZI AJIRA NA MAENDELEO YA VIJANA | •Tumetumia mwezeshaji kutoka kwenye taasisi hii •Ushauri kuhusu ushiriki na ushrikishwaji wa vijana |
3. TBC 1 | •Tuliaandaa kipindi cha vijana kuzungumzia ushiriki na ushirikishwaji wa vijana katika shughuli za kimaendeleo. |
4.)Tanzania Daima | Kuandika taarifa ya shughuli za TEYODEN katika Gazeti |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE | •Ushauri wa namna ya utekelezaji wa mradi na ushiriki wa vijana |
Future Plans
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
1.)Kutengeneza majukwaa 12 ya vijana katika kata 12 za mradi Temeke. | X | ||
2.)Kufanya midahalo 4 ya kujadili changamoto na kuweka mikakati ya kutatua. | X | ||
3.)Kufanya ufuatliaji wa matokeo na kukusanya takwimu za matokeo katika kata 12 za mradi Manispaa ya Temeke. | X |
Beneficiaries Reached
Direct Beneficiaries | Indirect Beneficiaries | ||
---|---|---|---|
Widows | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
People living with HIV/AIDS | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Elderly | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Orphans | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Children | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Disabled | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Youth | Female | 22 | 205 |
Male | 19 | 164 | |
Total | 41 | 369 | |
Other | Female | 6 | (No Response) |
Male | 12 | (No Response) | |
Total | 18 | (No Response) |
(No Response)
Events Attended
Type of Event | When | Lessons | Actions Taken |
---|---|---|---|
Tamasha la Azaki za kiraia | 27-29 OCT 2009 | 1.)Uwajibikaji na uwazi katika uendeshaji asasi za kiraia | .)Kuongeza uwazi na uwajibikaji Kutekeleza mradi wa ari ya uwajibikaji,ushiriki na ushirikishwaji wa vijana. |
Mafunzo ya usimamizi wa fedha | 28SEPT2009 | 2.)Kuongeza uwezo wa mhasibu katika usimamizi na utunzaji wa fedha. | 2.)Kufanya usimamizi wa fedha na utunzaji wa kumbukumbu za fedha katika asasi ya TEYODEN. |
Mafunzo ya usimamizi wa ruzuku | 2 FEB 2010 | 3.)Kuongeza uwezo katika usimazi na fedha za ruzuku. | 3.)Kufanya utekelezaji wa mradi wa ari ya uwajibikaji,ushriki na ushirikishwaji wa vijana katika shughuli za kijamii na maendeleo. |
Mafunzo ya ufuatiliaji na tathmini | MACHI 2010 | 4.)Mbinu na taratibu za kufanya tathmini na ufuatiliaji | 4.)Kuboresha shughuli za Taasisi na miradi ya TEYODEN katika ufuatiliaji na tathmini. |