Envaya
TEDINEPA imetimiza miaka 2 ya kuanzishwa kwa vikundi 10 vya VICOBA na mwaka vimeanzishwa tena 10 vyote ni vya watu wanaoishi na virusi vya ukimwi ambavyo vimeongezewa ruzuku ya kuongeza kwenye michango ya kukukepeshana na watu wanakopa na kurejesha na chanzo cha mapato wamepata mafunzo ya ujasilia mali wa kutengeneza sabuni za maji za kufulia na kupiga deki chooni,sabuni za vipande,shampoo na maziwa ya maarage ya soya,hivyo imepelekea WAVIU kuwa na maendeleo ya kuishi kwa mikakati badala ya kuwa tegemezi na mawazo ya kufikilia kifo kupungua tumedhubutu na tumeweza katibu TEDINEPA -KALAKI 0717925553
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.