Fungua
Temeke District Network of People Living with HIV/AIDS

Temeke District Network of People Living with HIV/AIDS

Temeke, Tanzania

Tuna hakikisha watu wanao ishi na VVU kupata haki zao za msingi na kuwa na afya njema.
Mabadiliko Mapya
Temeke District Network of People Living with HIV/AIDS imeumba ukurasa wa Miradi.
Vvu na.ukimwi
5 Februari, 2013
Temeke District Network of People Living with HIV/AIDS imeongeza Habari.
Tedinepa@yahoo.com
27 Desemba, 2012
Temeke District Network of People Living with HIV/AIDS imeongeza Habari 2.
TEDINEPA imetimiza miaka 2 ya kuanzishwa kwa vikundi 10 vya VICOBA na mwaka vimeanzishwa tena 10 vyote ni vya watu wanaoishi na virusi vya ukimwi ambavyo vimeongezewa ruzuku ya kuongeza kwenye michango ya kukukepeshana na watu wanakopa na kurejesha na chanzo cha mapato wamepata mafunzo ya ujasilia mali wa kutengeneza sabuni za maji za kufulia na... Soma zaidi
8 Julai, 2012
Temeke District Network of People Living with HIV/AIDS imeongeza Habari.
TAARIFA ZA MTANDAO WA TEDINEPA 2012
4 Julai, 2012
Temeke District Network of People Living with HIV/AIDS imeongeza Habari.
Kwasasa tunafanya workshop ya mafunzo ya ufuasi sahihi wa dawa za kupunguza makali ya VVU na Ukimwi pamoja na lishe. – Workshop hii tunawahusisha wale wanaoishsi na VVU na wale wanao watunza wanao tumia dawa hizo. – tuna mitandao mitatu katika wilaya za Temeke Ilala na Kinodoni. haya mafunzo yanaendeshwa katika wilaya zote hizo... Soma zaidi
22 Aprili, 2010
Temeke District Network of People Living with HIV/AIDS imejiunga na Envaya.
22 Aprili, 2010
Sekta
Sehemu
Temeke, Dar es Salaam, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu