TAASISI YA KUPAMBANA NA UKIMWI KITANGARI IMEFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI YA MRADI WA UNASIHI NA UPIMAJI WA HIARI WA VVU.
Kikao hicho kilichowahusisha viongozi wa serikali kimefanyika tarehe 12/02/2011 Kituo cha Mchemo Lengo.
Viongozi walisisitizwa na mtaalamu kuzingatia kufanya uteuzi kwa makini bila kuelemea upande mmoja.
February 15, 2011