Utunzaji wa Mazingira.
STEMMUCO ENVIRONMENTAL MALIHAI CLUB (Dodoma)December 8, 2012 at 11:49 AM EAT
Kuwa Mwanaharakati si tu kufanya mapinduzi ya kijeshi au kuwa mwanasiasa mashuhuri au kutunga tungo zinazokosoa jamii kama Watu wengi wanavyodhani.Tunaweza tukawa Wanaharakati wa Mazingira kwa kuwekeza nguvu kubwa katika kuimarisha,kuchochea na kuelimisha juu ya shughuli mbalimbali za utunzaji wa Mazingira.LIVING Anthony (Former assistance Coordinator STEMMUCO Malihai environmental club)
Reagan Sanga (Tumaini University Makumkira)July 10, 2013 at 11:31 AM EAT
Tanzania is one of the bst country in world endowe with plety natural resources, but still most of us we don't care about it! Its the time now for us, we as new generation to work as TEAMWORK to rescue the depletioon of our natural resources for the present generation and future too for SUSTAINABLE UTILIZATION, We as MALIHAI CLUBS OF TANZANIA(MCT) Its our task to work on it, providing alternative ways to utilize our resources, TEAMWORK
T=Together
E=Everyone
A=Achieve
M=More
W=Wherever
O=Obstacle
R=Rise
K=Keep it UP
We can succeed by using PARTICIPATORY APPROACH.
sayi motto (SAUT mtwara)January 27, 2014 at 12:06 AM EAT (edited January 27, 2014 at 12:10 AM EAT)
The natural resources can not be created by man, but man can destroy it.The bible says "Blessed is he who cares about others,lets care the nature without which no one could be able to survive.What are the roles of religious institutions in environmental conservation
@Reagan Sanga (Tumaini University Makumkira):
MTUNDU FRANK F (MTWARA .STEMMUCO)October 9, 2014 at 5:32 PM EAT
@sayi motto (SAUT mtwara):
MTUNDU FRANK F (MTWARA .STEMMUCO)October 9, 2014 at 5:34 PM EAT
MAZINGIRA NI MOYO WANGU TUSHIRIKIANE KUTUNZA
:
MTUNDU FRANK F (MTWARA .STEMMUCO)October 9, 2014 at 5:37 PM EAT
MAZINGIRA MAZURI HUSAIDIA KUISHI MIAKA MINGI DUNIANI HIVYO TUYATUNZE@STEMMUCO ENVIRONMENTAL MALIHAI CLUB (Dodoma):
SOLOMON IPYANA MWAKALUKWA (Mabibo)May 30, 2016 at 8:11 PM EAT
"Go Clean,Go Green" right to life is ENVIRONMENT
Frank Mtundu (Njombe)December 5, 2016 at 9:47 AM EAT
Mazingira Safi Ni Afya Bora,ndo Uhai,maisha Maref,.Tupande Miti